
HIKI HAPA KIKOSI CHA STARS KUINGIA KAMBINI JUNI 2, KUCHEZA NA BAFANA BAFANA, MZIZE OUT
Kikosi cha Taifa Stars kitakachoingia kambini Juni 2, 2025 kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) na mashindano ya COSAFA dhidi ya Eswatini na Madagascar