
HIZI HAPA MASHINE ZA KAZI YANGA ENEO LA USHAMBULIAJI
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi kina mitambo miwili ya mabao kwenye eneo la kufunga wakiwa na ushindani mkubwa kwa kila mmoja kwenye kucheka na nyavu. Baada ya mechi 23 safu ya ushambuliaji ya Yanga imetupia jumla ya mabao 61 ikiwa ni timu namba moja kwa kufunga mabao mengi ndani ya ligi…