
PROFESA JANABI ASHINDA MKURUGENZI WA WHO KANDA YA AFRIKA
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi leo Mei 18, 2025 ameibuka kidedea katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika. Katika uchaguzi uliofanyika Geneva nchini Uswisi, Janabi alikuwa akichuana na wenzake wanne, Dk. N’da Konan Yao wa Ivory Coast, Dk Drame Lamine wa Guinea, Dk…