
SIMBA YASIKITIKIA MATOKEO YAKE
UONGOZI wa Simba umeyasikitikia matokeo yake inayopata ndani ya uwanja katika mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kuwa mwendo wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika umegotea hatua ya robo fainali na kwenye CRDB Federation Cup wamegotea raundi ya nne. Aprili 9 2024 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 1-1 Simba…