
AZAM FC NDANI YA LINDI KUWAKABILI NAMUNGO
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wametia timu ndani ya Lindi ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Jumapili, Aprili 14 2024. Ikumbukwe kwamba kweye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Azam Complex,…