
AZAM FC WABANANA NA MASHUJAA
AZAM FC matajiri wa Dar wametoshana nguvu dhidi ya Mashujaa kutoka Kigoma, mwisho wa reli katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 0-0 Mashujaa kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Azam FC inasalia nafasi ya pili ikiwa na pointi 51 Mashujaa nafasi ya…