
JOB ANAPAMBANA NA YANGA
BEKI wa kazi ngumu Dickson Job tuzo ya beki bora inanukia kwake kwa mara nyingine tena kutokana na ushirikiano mkubwa uliopo katika timu hiyo. Mbali na Job ambaye ni mchezaji wa kwanza kufunga bao ndani ya Ligi Kuu Bara ilikuwa dhidi ya KMC kuna kitasa kingine kinaitwa Bacca kitampa ushindani mkubwa kujua nani atakuwa nani….