
MIKONO YA KIPA WA COASTAL UNION MOTO MKALI
MIKONO ya kipa namba moja w Coastal Union, Ley Matampi ilikuwa ni moto wa kuotea mbali kutokana na kuokoa hatari za wapinzani wao Yanga. Licha ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Yanga 1-0 Coastal Union, kipa Matampi alifanya kazi kubwa kwenye kutimiza majukumu yake. Miongoni mwa nyota ambao walifanya majaribio makubwa kwenye kumtungua…