
ISHU YA BENCHIKHA KUSEPA SIMBA, YANGA WATAJWA
ISHU ya mwamba wa mpira Benchikha kuondoka ndani ya kikosi cha Simba Yanga wanahusika kumbe pamoja na matokeo ambayo yalikuwa yanapatikana ndani ya kikosi hicho kilicho nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara