
ANAREJEA KWENYE UBORA PACOME
MWAMBA Pacome ndani ya Yanga anafunga na kutoa pasi za mabao hajawa ndani ya uwanja kwa muda akipambania hali yake, taratibu anarejea kwenye ubora wake.
MWAMBA Pacome ndani ya Yanga anafunga na kutoa pasi za mabao hajawa ndani ya uwanja kwa muda akipambania hali yake, taratibu anarejea kwenye ubora wake.
MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…
BAADA ya Azam FC kupata ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya KMKM kwenye mchezo wa nusu fainali ya Muugano sasa inakwenda hatua ya fainali itakutana na Simba. Aprili 25 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex baada ya dakika 90 ulisoma Azam FC 5-2 KMkm kwenye nusu fainali ya pili. Mchezo wa fainali unatarajiwa kuchezwa…
Orb of Destiny ni mchezo wa sloti kutoka kwa Hacksaw Gaming. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, unaleta mshangao mzuri. Kuna Wilds zenye nguvu na mizunguko ya bure inayokuja na ushindi wa hali ya juu. Jisajili Meridianbet na Ushinde kirahisi kila unapocheza kasino. Orb of Destiny ni mchezo wenye mistari ya 14 ambao hauwezi…
KATIKA Ligi ya Wanawake Simba Queens imepeta mbele ya Yanga Pricess kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Yanga Princess 1-3 Yanga ambapo pointi tatu zimeelekea kwa Simba Queens. Dakika 45 za mwanzo hakukuwa na mbabe kwa timu zote ambapo ubao ulikuwa unasoma 0-0 mambo…
KOMBE la Muungano 2024 limeanza kuunguruma Visiwani Zanzibar ambapo limeanzia kwenye hatua ya nusu fainali. Nusu fainali ya kwanza ilikuwa ni Aprili 24 2024 ambapo ilikuwa ni Uwanja wa New Amaan Complex. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma KVZ 0-2 Simba hivyo Simba inakuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali. Mchezo…
KLABU ya Azam FC matajiri wa Dar wanakibarua kigumu kwenye mchezo wa nusu fainali Muungano 2024 dhidi ya KMKM kwa kila mmoja kusaka ushindi kusonga mbele hatua ya fainali. Ikumbukwe kwamba Aprili 24 Simba ilikuwa na kibarua mbele ya KVZ na iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 hivyo imetinga hatua ya fainali ikisubiri mshindi wa…
KUNA panga linapita ndani ya kikosi cha Simba ambapo wachezaji wapo ambao watapewa mkono wa asante na wengine kupata changamoto mpya kwenye timu nyingine kwa msimu wa 2023/24
BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga ameweka wazi kuwa moja ya sababu kubwa iliyofanya wakakosa ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania ni sehemu ya kuchezea kutokuwa rafiki. Mchezo wa mzunguko wa pili kati ya JKT Tanzania na Yanga ulichezwa Aprili 24 2024 ambapo awali ulitarajiwa kuchezwa Aprili 23 lakini uliahirishwa kutokana…
MWAMBA Fabrice Ngoma na Zanzibar ni damudamu kutokana na kuwa katika kiwango bora kama ambavyo ilikuwa kwenye Mapinduzi 2024 alipoibuka mchezaji bora katika Michuano hiyo. Hivyo nyota huyo kwenye uwanja eneo la kiungo amekuwa na balaa zito wakiwa visiwani jambo linalofanya akombe tuzo hizo mara kwa mara. Kwa mara nyingine tena Simba wamerejea Zanzibar, Uwanja…
AMEIBUKA na neno hili mwamba Aziz KI kiungo mshambuliaji wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi
Utaandaa matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe ni jamii ya matunda ya limao, embe, parachichi, halafu kwenye kusaga usitumie maji tumia juisi ya Apple, au zabibu, maziwa na asali pamoja na sukari nyeupe. Jisajili Meridianbet upate bonasi za kasino na michezo mingi ya bure. Utachagua unaanza kusaga matunda gani kwa mfano utaanza na…
KUNA vita nyingine kubwa kwenye msako wa kiatu cha ufungaji bora ambapo kuna mwamba mmoja kutoka Yanga na mwingine kutoka Azam FC kila mmoja akiwa kwenye ubora wake katika mechi ambazo anacheza.
LICHA ya mazingira ya Uwanja wa Meja Isamuhyo kutokuwa rafiki kwa timu zote mbili ngoma imekuwa ngumu kwa wote wawili kugawana pointi mojamoja. Ubao umesoma JKT Tanzania 0-0 Yanga baada ya filimbi ya mwisho kwa mwamuzi kupigwa katika mchezo wa mzunguko wa pili. Ikumbukwe kwamba mzunguko wa kwanza JKT Tanzania walishuhudia ubao wa Uwanja wa…
Usiku wa leo zitapigwa mechi mbalimbali kwenye ligi tofauti tofauti barani ulaya ila kwa kiwango kikubwa macho yatakua pale Uingereza kwenye dimba la Goodson Park kwenye mchezo wa Derby ya Merseyside. Derby ya Merseyside imemua moja ya derby zenye mvuto mkubwa nchini Uingereza kila ambapo inakua inapigwa, Lakini leo itakwenda kua na mvuto wa tofauti…
SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kombe la Muungano dhidi yaKVZ ambao unatarajiwa kuchezwa leo Aprili 24, Uwanja wa New Amaan Complex. Kikosi hicho kinatarajiwa kuwa na kazi dakika 90 kusaka matokeo ambapo kwenye mechi zake tano mfululizo kimekwama kupata ushindi. Matola amesema; “Tunatambua umuhimu wa mchezo wetu…
Je, umewahi kucheza mchezo wa droo wenye droo 10? Ikiwa hujawahi, sasa unapata nafasi kamili ya kufanya hivyo. Kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna furaha inakusubiri kupitia droo moja tu ya ushindi. Taarifa za Msingi 420 Blaze It ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma 1×2 Gaming na una droo 10. Kila…