
SIMBA YAANDIKA REKODI HII TATU BORA
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha imeandika rekodi yake ndani ya tatu bora kwa kuwa timu iliyoruhusu mabao mengi yakufungwa. Ipo wazi kuwa Simba inatarajiwa kutupa kete yake nyingine leo Aprili 13 dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti, Singida. Wachezaji wa Simba wanaonekana kutokuwa imara…