
M-BET YAMZAWADIA MSHINDI WA PERFECT 12 MILIONI 140.5
SHABIKI wa klabu ya Simba na Arsenal, Yahya Saidi Bakari ameshinda sh 140,503,890 baada ya kubashiri kwa usahihi matokeo ya ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni M-Bet Tanzania. M-Bet Yazindua Kampeni Mpya Mbali ya kumzawadia mshindi huyo, M-Bet pia imezindua kampeni mpya ijulikanyo kwa jina la M-Bet Likes You ambayo itawawezesha washindi…