
AL AHLY KUKUTANA NA MUZIKI MZIMA WA SIMBA KIMATAIFA
MAPEMA kabisa Simba ilituma watu wake nchini Misri kuandaa mazingira mazuri kwa timu kufikia na sehemu ya kufanyia mazoezi kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 nchini Cairo