
ANA BALAA ZITO MWAMBA CHAMA
ANA balaa zito mwamba Clatous Chama ndani ya uwanja kutokana na kazi anayofanya uwanjani kwenye Ligi Kuu Bara
ANA balaa zito mwamba Clatous Chama ndani ya uwanja kutokana na kazi anayofanya uwanjani kwenye Ligi Kuu Bara
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa suala la usajili ni sanaa hivyo ni lazima anayefanya jambo hilo kujua ni kitu gani anakifanya kwa wakati huo. Ni Rais wa Yanga, Injnia Hersi Said amebainisha kuwa ni lazima kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kukamilisha usajili jambo ambalo ni muhimu kuzingatia katika kutimiza majukumu hayo. “Usajili ni sanaa,…
Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na kuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbet wamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili…
KOCHA Abdelhakh Benchikha, kocha wa kazi amesema kuwa malengo makubwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilikuwa ni kucheza hatua ya nusu fainali na kutwaa ubingwa lakini ilishindikana kwa kuwa haikuwa mipango ya Mungu. Aprili 28 2024 Simba ilitoa taarifa rasmi kuwa wamefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba kati ya Simba na kocha Benchikha pamoja…
MWAMBA wa kazi beki wa kupanda na kushuka ambaye alikuwa anapigiwa hesabu za kuibuka ndani ya kikosi cha Simba amemalizana na mabosi wa Yanga mapema kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho.
Jisajili na Meridianbet kisha uwe wa kwanza kupata taarifa ya promosheni mpya kila siku, Bonasi za kasino na michezo ya kasino ya mtandaoni inakusubiri kukufanya uwe milionea mpya. Cheza shindano jipya la Expanse uingie kwenye kinyang’anyiro cha kitita cha mkwanja mrefu. Expanse Studio ni mtoa huduma bora wa michezo ya kasino ambaye anafanya kazi…
KOCHA Abdelhakh Benchikha aliyekuwa akiifundisha Simba sasa hatakuwa katikakatika majukumu hayo baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Benchikha mrithi wa mikoba ya Robert Oliveira mchezomchezo wake wa kwanza Kariakoo Dabi ilikuwa Aprili 20 2024 ubao ulisoma Yanga 2-1 Simba. Ni yeye alikuwa na timu katika mashindano ya Muungano 2024 kwenye mechi mbili walishinda zote…
WAJEDA JKT Tanzania wanatarajiwa kuwa na kazi nyingine kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. JKT Tanzania mchezo wake wa mzunguko wa pili uliopita ilikuwa dhidi ya Yanga na ilishuhudia ubao ukisoma JKT Tanzania 0-0 Yanga. Katika mchezo huo waligawana pointi mojamoja baada ya dakika 90 kukamilika kwa kuwa mchezo wa mzunguko…
MWAMBA Aziz KI ana balaa zito ndani ya uwanja kutokana na mwendo wake wa kucheka na nyavu kwa msimu wa 2023/24 ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi akiwa na pasi 7 za mabao msimu wa 2023/24 na mguu wake wenye nguvu ni ule wa kushoto akiwa akiwa kafunga mabao 13 na mawili…
BAADA ya kukamilisha kazi ya dakika 180 kwenye msako wa Kombe la Muungano, mabingwa wapya ambao ni Simba wamewasili Dar. Kombe la Muungano 2024 lilifanyika Visiwani Zanzibar lilianzia hatua ya nusu fainali ambapo timu nne zilishiriki kwenye mashindano hayo. Ilikuwa nusu fainali ya kwanza KVZ 0-2 Simba mabao ya Michael Fred na Israel Mwenda kwa…
Hivi unajua kuwa leo ni siku ya kutimiza ndoto zako endapo utabashiri na meridianbet mechi zako za leo kwa kuchagua machaguo uyatakayo?. Suka mkeka wako sasa na uanze kuengeneza jamvi lako kirahisi sana. LIGUE 1 kama kawaida mechi ni nyingi sana FC Lorient ambao ni wa 17 watawaalika Toulouse FC ambao ni wa 11 huku…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba umejifunza jambo la muhimu sana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union licha ya kupata ushindi wa bao 1-0. Aprili 27 2024 Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Coastal Union baada ya dakika 90 walikomba pointi tatu kwa ushindi wa bao la Joseph…
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ana balaa zito ndani ya uwanja kutokana na kutimiza majukumu yake kwa umakini akishirikiana na wachezaji wengine katika kusaka pointi tatu ndani ya ligi huku akiwa namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi.
MIKONO ya kipa namba moja w Coastal Union, Ley Matampi ilikuwa ni moto wa kuotea mbali kutokana na kuokoa hatari za wapinzani wao Yanga. Licha ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Yanga 1-0 Coastal Union, kipa Matampi alifanya kazi kubwa kwenye kutimiza majukumu yake. Miongoni mwa nyota ambao walifanya majaribio makubwa kwenye kumtungua…
Kupanga ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kila siku kuna bonasi kibasi na michezo sana usipange kukosa bahati hii. Kupitia sloti mpya ya Book of Eskimo unaweza kushinda kirahisi swali ni je unashindaje shindaje? Jisajili Meridianbet na fuata maelekezo haya>> Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakurejesha kwenye…
HATIMAYE mabingwa wapya wa Muungano 2024 ni Simba baada ya kushinda katika mchezo wa fainali dhidi ya Azam FC. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex umesoma Simba 1-0 Azam FC. Bao la ushindi limefungwa na kiungo mkabaji Babacar Sarr dakika ya 77 ya mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa….
NAIBU Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, maarufu kama FA amesema kuwa bingwa wa leo kwenye mchezo wa fainali wa Muungano ataandika rekodi ya kuwa bingwa mpya baada ya mashindano hayo kurejea. FA amesema hayo kwenye uzinduzi wa mashindano ya Dar Youth Cup yaliyoandaliwa na Bull Football Academy kituo cha kukuza…