
MASHUJAA KUONYESHA USHUJAA KWA YANGA
BENCHI la ufundi la Mashujaa limebainisha kwamba lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya vinara wa ligi ambao ni Yanga. Mchezo huo wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma kwa wababe wote wawili kusaka pointi tatu muhimu. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa…