
MAJEMBE SITA YANAKUJA YANGA, YUPO ALIYETAKIWA SIMBA
MAJEMBE sita yanakuja Yanga, yupo aliyetakiwa na Simba kazi imeanza kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho msimu wa 2024/25
MAJEMBE sita yanakuja Yanga, yupo aliyetakiwa na Simba kazi imeanza kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho msimu wa 2024/25
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama amewekwa mtu kati ambapo mabosi wa Simba wanapiga hesabu kuipata saini yake kwa kuona kwamba anaongeza mkataba mwingine huku nyota huyo akiwavutia kasi, inatajwa kuwa mabosi wa Yanga nao wanatazama mchakato mzima unavyokwenda kamaatasepa Simba basi wanaweza idaka saini yake
KLABU ya Azam imefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) kumsajili kiungo mshambuliaji, Franck Tiesse. kwa mkataba wa miaka miwili kuanzia msimu ujao wa 2024-25. Tiesse (26) anayesifika kwa uwezo wake mkubwa wa kushambulia kwa kasi na uwezo wa kutumia miguu yote miwili, akiwa Stade Malien aliisaidia klabu hiyo kufika robo fainali ya Kombe…
Bayern Munich na Real Madrid zimetoshana nguvu kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya huku mchezo wa marudiano wiki ijayo ukisalia kuwa mtanange wa maamuzi. FT: Bayern Munich ?? 2-2 ?? Real Madrid ⚽ Vini Jr 33’ ⚽ Vini Jr (P) 83’ ⚽ Sane 53’ ⚽ Kane (P)…
Sloti ya Zombie Apocalypse Wengi wetu hupenda filamu za Mazombie huwa zinatisha kidogo lakini huwa zinakuwa na hisia Fulani hivi ya msisimko, iko hivyo unapokuwa unacheza mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Zombie Apocalypse msisimko huwa pale unaposhinda Mamilioni kwa dau dogo. Jisajili Meridianbet kisha ingia mchezoni ufurahie ushindi. Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni…
Viwanja viwili barani ulaya vitawaka moto ndani ya wiki ambapo vitatumika kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa ulaya siku ya Jumanne leo na siku ya Jumatano ambayo ni kesho. Leo kiwanja ambacho kitaanza kuwaka moto ni Allianz Arena ambapo wenyeji Bayern Munich watawakaribisha klabu ya Real Madrid, Ambapo hapo kesho Signal Iduna Park kutawaka…
NAMUNGO wamekomba pointi moja mbele ya Simba kwa sare ya kufungana mabao 2-2 mchezo wa mzunguko wa pili, Uwanja wa Majaliwa. Licha ya Simba kuanza kufunga kila kipindi walikwama kulinda ushindi huo mpaka dakika ya 90 huku nafasi walizotengeneza wakikwama kuzitumia ikiwa ni pamoja na ile ya Fabrice Ngoma dakika ya 90. Willy Onana alifunga…
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuwa uwanjani leo kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Namungo, Aprili 30 2024. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Uhuru ubao ulisoma Simba 1-1 Namungo FC walipogawana pointi mojamoja. Mchezo uliopita kwa Simba ambao ulikuwa ni wa mwisho kwa Abdelhakh Benchikha kukaa benchi ilikuwa Aprili…
NDANI ya msimu wa 2023/24 yamekuwa ni mapito magumu kwa Mtibwa Sugar inayopambana kubaki ndani ya ligi kwa kusaka matokeo katika mechi zilizobaki. Sio nyumbani wala ugenini hali haijawa nzuri katika kupata matokeo ndani ya dakika 90 uwanjani chini ya Kocha Mkuu, Zuber Katwila. Aprili haijawa njema pia katika mashindano yake yote iligotea hatua ya…
ISHU ya mwamba wa mpira Benchikha kuondoka ndani ya kikosi cha Simba Yanga wanahusika kumbe pamoja na matokeo ambayo yalikuwa yanapatikana ndani ya kikosi hicho kilicho nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara
KLABU ya Yanga imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo Lazarus Kambole. Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imeeleza kuwa uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu, (FIFA) baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo. Yanga ilitakiwa iwe imemlipa ndani ya siku…
MASHABIKI wa soka, tenisi, UFC, Kriketi, baseball na michezo mingine sasa wanaweza kushinda tiketi ya kwenda Dubai kwa kubashiri na kampuni ya Parimatch Tanzania. Pia kampuni hiyo imeingia mkataba na muigizaji nyota, Zainabu Saidi Bakari maarufu kwa jina la Zaylissa kuwa balozi wa chapa yao, “Brand Ambassodor”. Mbali ya Zaylissa, pia mchekeshaji maarufu nchini, Vincent…
MWAMBA Khalid Aucho kiungo wa Yanga amewataka wapenda soka kumfurahia wakati huu akiendelea kulisakata kabumbu katika ligi ya Tanzania kwasababu hakuna Khalid Aucho mwingine ambaye ataonekana kwenye soka la Bongo. Nyota huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabilia Tabora United kwenye mchezo wa hatua ya robo…
ANA balaa zito mwamba Clatous Chama ndani ya uwanja kutokana na kazi anayofanya uwanjani kwenye Ligi Kuu Bara
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa suala la usajili ni sanaa hivyo ni lazima anayefanya jambo hilo kujua ni kitu gani anakifanya kwa wakati huo. Ni Rais wa Yanga, Injnia Hersi Said amebainisha kuwa ni lazima kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kukamilisha usajili jambo ambalo ni muhimu kuzingatia katika kutimiza majukumu hayo. “Usajili ni sanaa,…
Mitaa iliitika mitaa ikaukubali mziki wa Magwiji wa Odds kubwa, Nyumba ya Mabingwa wa michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni, ufalme wa washindi Meridianbet pale walipopita mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na kuwashika mkono wapambanaji wote. Watu wengi walijitokeza kuona ni nini Meridianbet wamewaletea na hapo ndipo tabasamu lilipofunguka mithili…
KOCHA Abdelhakh Benchikha, kocha wa kazi amesema kuwa malengo makubwa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ilikuwa ni kucheza hatua ya nusu fainali na kutwaa ubingwa lakini ilishindikana kwa kuwa haikuwa mipango ya Mungu. Aprili 28 2024 Simba ilitoa taarifa rasmi kuwa wamefikia makubaliano ya pande mbili kuvunja mkataba kati ya Simba na kocha Benchikha pamoja…