Home Sports MWAMBA WA LUSAKA AWEKWA MTU KATI, YANGA WATAJWA

MWAMBA WA LUSAKA AWEKWA MTU KATI, YANGA WATAJWA

MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama amewekwa mtu kati ambapo mabosi wa Simba wanapiga hesabu kuipata saini yake kwa kuona kwamba anaongeza mkataba mwingine huku nyota huyo akiwavutia kasi, inatajwa kuwa mabosi wa Yanga nao wanatazama mchakato mzima unavyokwenda kamaatasepa Simba basi wanaweza idaka saini yake

Previous articleAZAM YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MALI
Next articleMAJEMBE SITA YANAKUJA YANGA, YUPO ALIYETAKIWA SIMBA