
KIKOSI CHA CAF KUSHUSHWA KUWAKABILI DODOMA JIJI
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Dodoma Jiji Uwanja wa Jamhuri,Dodoma ambapo kikosi cha CAF knatarajiwa kuanza
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Yanga wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Dodoma Jiji Uwanja wa Jamhuri,Dodoma ambapo kikosi cha CAF knatarajiwa kuanza
AHMED Ally Meneja wa Idara ya Habari Simba na Ally Kamwe Meneja wa Idara ya Habari Yanga wote ni washkaji kwenye maisha ya kawaida lakini kila mmoja anafanya kazi kwenye taasisi kubwa kutimiza majukumu yake.Hivi karibuni walikutana uso kwa uso na kuzungumza mpango kazi kuhusu kuibua vipaji
Kivumbi cha ligi ya mabingwa ulaya kitaendelea leo ambapo itapigwa michezo miwili mikali kwenye michuano hiyo itakayokutanisha vilabu ambavyo vimekua na uzoefu wa michuano hiyo. Klabu ya Atletico Madrid wao watakua wenyeji kuwakaribisha Borussia Dortmund kutoka kule nchini Ujerumani, Huku Paris Saint German wao watakua nyumbani kupambana na mabingwa mara tano wa michuano hiyo klabu…
BAADA ya kukamilisha kete kwenye CRDB Federation dhidi ya Mashujaa ya Kigoma, Aprili 10 msafara wa kikosi cha Simba umeanza kuelekea Singida. Ipo wazi kwamba Aprili 9 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 1-1 Simba katika raundi ya nne na kupelekea mshindi kupatikana kwe penalti. Mashujaa 6-5 Simba…
SHABIKI wa klabu ya Simba na Arsenal, Yahya Saidi Bakari ameshinda sh 140,503,890 baada ya kubashiri kwa usahihi matokeo ya ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni M-Bet Tanzania. M-Bet Yazindua Kampeni Mpya Mbali ya kumzawadia mshindi huyo, M-Bet pia imezindua kampeni mpya ijulikanyo kwa jina la M-Bet Likes You ambayo itawawezesha washindi…
UONGOZI wa Simba umeyasikitikia matokeo yake inayopata ndani ya uwanja katika mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Ipo wazi kuwa mwendo wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika umegotea hatua ya robo fainali na kwenye CRDB Federation Cup wamegotea raundi ya nne. Aprili 9 2024 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika ulisoma Mashujaa 1-1 Simba…
KUELEKEA mchezo wa CRDB Federation Cup raundi ya nne kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga, mabingwa watetezi wa taji hilo wameonekana kuwahofia wapinzani wao kutokana na uimara wao. Pengine ni mtego kwa Dodoma Jiji kwa kuwa Yanga wakiwa na jambo lao huwa hawana hofu zaidi ya kucheza kwa umakini kutafuta ushindi. Aboutwalib Mshery kipa…
AMEWAVAA Yanga bosi wa Simba ishu ya barua kuhusu bao ambalo lilifungwa kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini mtupiaji akiwa ni Aziz KI
Mbele yako ni safari ya kasino mtandaoni ya kusisimua ambapo utakutana na ishara zinazotawala katika ushindi wa kawaida. Kila kitu utakachoona kutoka kwa ishara za msingi katika mchezo ni ishara za Bar na Lucky 7. Wild Mirage ni kasino mtandaoni ya Meridianbet kutoka kwa mtayarishaji Tom Horn. Mbele yako ni burudani ya kusisimua iliyotiwa chumvi…
Usiku wa kusisimua zaidi kwa wapenda soka duniani kote unarejea leo ambapo utaenda kushuhudia michezo mikali ikipigwa katika viwanja viwili tofauti katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya. Miamba ya soka kutoka nchini Hispania klabu ya Real Madrid itamenyana na klabu ya Manchester katika mchezo wa kwanza wa robo fainali, Huku vinara…
CRDB Federation Cup. Mashujaa wanaifunagshia virago Simba kwenye CRDB Federation Cup kwa ushindi wa penalti 6-5 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Simba haina bahati mbele ya Mashujaa kwa kuwa iliwahi kutolewa walipokutana kwenye mashindano hayo hivyo kisasi cha ushindi kwenye ligi kimelipwa mazima katika raundi ya nne. Mashujaa 1-1 Simba…
HOLOMICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo Aprili 9, 2024 kwa michezo miwili ya mkondo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ambapo itamshuhudia Harry Kane akirejea Kaskazini mwa Jiji la London kwa mara ya kwanza tangu alipoondoka Tottenham na kujiunga na miamba ya Ujerumani, Bayern Munich. Kane anatarajiwa kuwa mwiba mkali kwa wenyeji,…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa moto wao kwenye anga la kimataifa hautazima kwa kuwa wapo imara kwenye kupambania nembo ya Yanga na Tanzania kiujumla. Ikumbukwe kwamba katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga imegotea hatua ya robo fainali ilipopoteza kwa penalti 3-2 dhidi ya Mamelodi Sundowns.
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba upo tayari kwa mchezo wao wa raundi ya nne dhidi ya Mashujaa ya Kigoma mwisho wa reli kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ni Aprili 8 mapema Simba waliwasili salama Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Aprili 9 2024 saa 10:00 jioni na yule…
Sloti ya Bursting Hot 5 Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matunda kama zile sloti za kizamani ila imeboreshwa zaidi! Sifa mpya zilizoongezwa zinakuhakikishia ushindi mkubwa zaidi. Namna ya Kucheza Mchezo wa Bursting Hot 5 Ukiingia kwenye sehemu ya…
WAPINZANI wa Simba kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa wamegomea unyonge mbele ya Mnyama kwa kubainisha kwamba wamefanya maandalizi mazuri kuwakabili. Ipo wazi kwamba baada ya kumaliza ngwe ya kimataifa Simba ikigotea hatua ya robo fainali ina kazi kwenye mashindano ya ndani ambayo ni Ligi Kuu Bara pamoja na CRDB Federation Cup….