AZAM YAACHANA NA MSHAMBULIAJI IDRIS MBOMBO
Klabu ya Azam FC imetangaza kuachana na mshambuliaji Idris Mbombo (27) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Taarifa ya Azam FC kwenye mitandao ya kijamii imesema “Thank You Idris Mbombo”. Mbombo alijiunga na Azam FC mnamo Julai 31 2021 akitokea El Gouna FC ya Misri. Tetesi zinadai Mkongomani huyo amejiunga na klabu ya Nkana…
MBWA ATAFUNA DOLA 4000 ZA MMILIKI WAKE
Cecil, mbwa kutoka Pennsylvania, amekuwa maarufu baada ya kutafuna bahasha ya pesa ambayo wamiliki wake walikuwa wametenga kwa ajili ya kumlipa mkandarasi. Mapema Desemba, Clayton Law aliweka bahasha iliyokuwa na $4,000 kwenye kabati lake jikoni kwake huko Pittsburgh, Pennsylvania. Yeye na mke wake, Carrie, walihitaji kumlipa mkandarasi wao pesa taslimu kwa ajili ya kuweka uzio….
FA IMEKUJA KIVINGINE NI MWENDO WA MAOKOTO, MACHAGUO ZAIDI YA 1000
Ukiwa na ndoto nyingi sana, kuna baadhi ya ndoto ambazo unatakiwa kutimiza na hili linawezekana kabisa kwa msaada wa uwepo wa kampuni bora ya ubashiri nchini Tanzania meridianbet ambayo inakupatia kile ambacho unakitaka wewe kwa wakati maalumu. Namaanisha machaguo zaidi ya 1000, Tubro cash, na mengine kibao. Bashiri sasa hapa mechi za FA Uingereza. Tukianza…
SIMBA KUINASA SAINI YA NYOTA HUYU
INAELEZWA kuwa Edwin Balua ambaye ni winga yupo kwenye hesabu za kusjiliwa na mabosi wa Simba. Kwa sasa kikosi cha Simba kimeweka kambi Zanzibar ambapo kinashiriki Mapinduzi Cup 2024 na leo Ijumaa kinatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka ushindi dhidi ya APR. Nyota huyo anatajwa kufikia kwenye hatua nzuri ya kusaini dili la miaka miwili…
MASTAA YANGA WAPEWA ONYO
MASTAA wa Yanga ambao walifunga 2023 kwa kujenga ushikaji na benchi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara wamepewa onyo na benchi la ufundi kuhakikisha kwamba wanatumia vema nafasi watakazopewa. Ipo wazi kwamba Skudu Makudubela, Cripin Ngushi, Denis Nkane, Jesus Moloko, Jonas Mkude, Aboutwalib Mshery, Kibwana Shomari hawakuwa na nafasi ya kuanza mara kwa mara kikosi…
KATAA LAWAMA ZA JANUARI. SILK ROAD KASINO USHINDI RAHISI
Ni muda wa shule kufunguliwa pia mwezi Januari huwa na mambo mengi, kila ukipiga hesabu hazikai sawa, lakini kabla ya yote soma kisa cha Mama huyu kisha utapata funzo. Mama mmoja akiwa amekaa sebuleni kwake haelewei siku inakuaje, kwenye pindo la kanga alihifadhi akiba yake, nafasi yake ikasuuzika kwa furaha na matumaini tele. Aliufungua kisha…
DEAL DONE: AZAM, SIMBA NA YANGA WAMEMALIZANA NAO
DEAL DONE Wakati dirisha dogo linaendelea kuna nyota ambao tayari wameshatambulishwa katika timu zao kwa ajili ya kuanza majukumu mapya ambapo Yanga, Azam FC na Simba zipo sokoni kuboresha vikosi vyao kwa ajili ya kuendeleza ushindani katika mashindano wanayoshiriki
LEGEND MKUDE ASEPA NA TUZO
LEGEND Jonas Mkude alipewa kitambaa cha unahodha katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi 2024 dhidi ya KVZ. Baada ya dakika 90 Januari 4 ubao ulisoma Yanga 0-0 KVZ wakigawana poiñti mojamoja ambapo Yanga inafikisha pointi 7 kibindoni. Mkude alipewa tuzo ya mchezaji aliyeonesha mchezo wa kiungwana ambapo ni zawadi ya laki mbili alipata kutoka kwa…
ANAMUONDOA NYOTA YANGA KIKOSI CHA KWANZA HUYU
NYOTA mpya wa Yanga Okra anatajwa kumuondoa nyota mmoja kikosi cha kwanza ikiwa atakuwa kwenye mwendo mzuri baada ya kutambulishwa rasmi katika kikosi hicho Desemba 31 2023 kuwa katika kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi
OSCAR PISTORIUS KUACHIWA HURU KWA MSAMAHA LEO AFRIKA KUSINI
Aliyekuwa mwanariadha wa Olimpiki mwenye ulemavu, Oscar Pistorius ataachiwa huru leo kwa msamaha na kutoka gerezani nchini Afrika Kusini baada ya kukaa jela kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Alimpiga risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka wa 2013 na kudai kuwa alidhani ni mwizi. Pistorius, ambaye sasa ana…
ALHAMISI YA LEO LA LIGA ITAPIGWA NA MCHONGO WOTE UPO MERIDIANBET
Baada ya michezo kadhaa kupigwa jana kunako ligi kuu ya Hispania La Liga leo tena ligi hiyo itaendelea na kama kawaida mkwanja upo wa kutosha pale Meridianbet hivo mteja unakumbushwa kuweka mkeka wako mapema. Meridianbet wao wanakuambia hawako tayari kuona wewe unauanza mwaka kinyonge wanataka kuhakikisha wewe mteja wao unauanza mwaka kibabe sana, Hivo wamekuwekea…
YANGA KUMSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU
INAELEZWA kuwa Klabu ya Yanga ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Medeama Jonathan Sowa. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuboresha eneo la ushambuliaji ambalo halijapata mbadala sahihi baada ya kusepa kwa Fiston Mayele. Kasi ya Yanga kwa sasa kwenye ufungaji sio yakubeza lakini inaongozwa na viungo washambuliaji. Ni Aziz KI huyu…
AMETOA ONYO ZITO BEKI WA SIMBA HUKO
KUTOKANA na mwendo wa safu ya ulinzi Simba kuwa kwenye mwendo mbaya ndani ya ligi kwa kuruhusu mabao pamoja na kwenye Kombe la Mapinduzi kuanza kwa kuruhusu bao moja kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya JKU beki Che Malone ametoa onyo kwa wachezaji wengine.
???????? MAPINDUZI: YANGA KUCHEZA NA KVZ LEO USIKU
? #mapinduzicup ⚽️ Young Africans SC Vs KVZ FC ? 04.01.2024 ? Amaan, Zanzibar ? 2:15 Usiku
AS VITA WANAPITIA HALI MBAYA YA KIUCHUMI PALE DR CONGO
Hawavutii tena kuwatazama Hawana mchezaji tishio hata anayevutia sokoni Hawashiriki Ligi ya Mabingwa Africa Hawana mchezaji hata mmoja timu ya taifa… WAPO KATIKA KIPINDI CHA MPITO