Home Sports AZAM YAACHANA NA MSHAMBULIAJI IDRIS MBOMBO

AZAM YAACHANA NA MSHAMBULIAJI IDRIS MBOMBO

Klabu ya Azam FC imetangaza kuachana na mshambuliaji Idris Mbombo (27) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Taarifa ya Azam FC kwenye mitandao ya kijamii imesema “Thank You Idris Mbombo”.

Mbombo alijiunga na Azam FC mnamo Julai 31 2021 akitokea El Gouna FC ya Misri.

Tetesi zinadai Mkongomani huyo amejiunga na klabu ya Nkana FC ya Zambia.

Previous articleMBWA ATAFUNA DOLA 4000 ZA MMILIKI WAKE
Next articleUKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI, JANUARI 06, 2024