MBWANA SAMATTA: MISRI NI WAPINZANI WAZURI
MBWANA Samatta nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa mchezo wao dhidi ya timu ya taifa ya Misri ni kipimo tosha katika kuelekea mashindano ya AFCON 2023. Ikumbukwe kwamba Januari 7 2024 timu ya taifa ya Tanzania ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri baada ya dakika 90 ubao ulisoma, Tanzania…