CHELSEA WAANZA MWAKA KIBABE, WASHINDA MECHI TAU
Klabu ya Chelsea wanakuja vizuri siku za karibuni kutokana na kushinda michezo kadhaa mfululizo jambo ambalo limekua nadra kwa klabu hiyo sio msimu huu tu bali kwa misimu miwili ya hivi karibuni. Unaweza kusema Chelsea wameanza kuja taratibu kutokana na hali yao katika ligi kuu ya Uingereza msimu, Hivo wao kupata matokeo ya ushindi mfululizo…