SIMBA: TUTAWASHITUA WENGI KWA USAJILI WETU DIRISHA DOGO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa watawashtua wengi kwa mashine za maana watakazoshusha kupitia usajili wao wa dirisha dogo ambao umelenga kuboresha kikosi hicho kwenye mechi za ushindani. Ipo wazi kwamba 2023 Simba ilifunga kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma KMC 2-2 Simba na mabao yalifungwa na Saido Ntibanzokiza na Jean Baleke…