
CRDB YAFUNGUKA SAKATA LA YANGA ‘HAWADAIWI CHOCHOTE’
WADHAMINI wa mashindano ya FA, Bank ya CRDB imetoa ufafanuzi kuwa ilishafanya malipo yote ya msimu uliopita katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), hivyo wao hawadaiwi kitu chochote. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 mabingwa wa taji hilo walikuwa ni Yanga SC walioshinda kwenye fainali mbele ya Azam FC kwa ushindi wa penati 6-5. Azam FC…