
MWAMBA ALIYETAKIWA YANGA KAMWAGA WINO HUKU
SIMON Msuva winga mzawa ambaye yupo na timu ya Tanzania, Taifa Stars, Ivory Coast kwenye Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) amesaini dili la miaka miwili Klabu ya Cape Town City ya Afrika Kusini. Nyota huyo aliwahi kucheza ndani ya kikosi cha Yanga ambapo alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za kurejeshwa hapo kwa mara nyingine tena….