VIDEO:YANGA:SARE TATU ZILITUTINGISHA,ZILITUTETEMESHA
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema sare tatu mfululizo ambazo walizpata kwenye Ligi Kuu Bara ziliwatingisha kidogo na kuwatetemesha
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema sare tatu mfululizo ambazo walizpata kwenye Ligi Kuu Bara ziliwatingisha kidogo na kuwatetemesha
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
BAADA ya Yanga kushinda jana mbele ya Dodoma Jiji kwa ushindi wa mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na kufikisha pointi 60, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa wataendelea kufanya vizuri. Kwa upande wa mshambuliaji mwenye mabao 12 na pasi tatu za mabao, Fiston Mayele ameweka wazi kwamba muda wa kutetema unakuja.
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamekamilisha dk 45 za mwanzo wakiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Kasi ilianza ndani ya dakika 10 za mwanzo ambapo presha ilikuwa kubwa na Yanga ikapachika bao la kuongoza dk ya 11 kupitia kwa Dickosn Ambundo. Winga huyo ambaye…
BAADA ya msoto wa kuambulia sare kwenye mechi tatu mfululizo,wachezaji wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi wameweka wazi kwamba hawajapenda kupata sare. Yanga ilianza kuambulia sare mbele ya Simba ilikuwa Aprili 30 kisha ngoma ikawa Ruvu Shooting 0-0 Yanga na kigogo cha tatu ilikuwa ni Yanga 0-0 Tanzania Prisons. Aboutwalib Mshery,kipa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba mshambuliaji wao Fiston Mayele kwa sasa hesabu zake ni kuweza kufunga mabao zaidi baada ya kukosa penalti mbele ya Tanzania Prisons. Ilikuwa Mei 9,2022 Uwanja wa Mkapa Mayele aliweza kukosa penalti hiyo kwenye mchezo wa ligi na ni penalti ya kwanza kwa Yanga kukosa. Fredrick Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa…
MSHAMBULIAJI bora wa msimu wa 2020/21,John Bocco amefunga bao la kwanza kwenye ligi baada ya kuyeyusha jumla ya siku 294 bila kufunga. Ikumbukwe kwamba mara ya mwisho kwa Bocco kufunga ilikuwa Julai 18,2021 alipofunga bao lake la 16 mbele ya Namungo FC Uwanja wa Mkapa na kuibuka kuwa mfungaji bora. Msimu wa 2021/22 ilikuwa ngumu…
KLABU ya DTB imefanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 mbele ya Pamba FC na wameweza kupata nafasi ya kupanda moja kwa moja Ligi Kuu Tanzania Bara. Jumla wamefikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 28 ndani ya Championship msimu huu. Pamba FC inabakiwa na pointi zake 36 baada ya kucheza mechi 28 msimu huu wa…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi kwamba wanakwenda kuvunja rekodi kwa msimu huu na kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Simba, Aprili 30 wataifunga Simba na kuchukua pointi tatu muhimu.
AHMED Ally, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano ndani ya Simba amesema kwa sasa hawafikirii mchezo wao dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30,2022. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote kuwa na uhitaji wa pointi tatu muhimu za mchezo huo wa ligi. Ally amesema wanatambua mchezo huo upo ila…
WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba kwenye hatua ya Kombe la Shirikisho safari yao imefika mwisho leo nchini Afrika Kusini baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penalti. Ngoma ilikuwa nzito hasa kipindi cha kwanza, Simba walipiga mpira mkubwa kwa kujilinda huku viungo wakishindwa kutengeneza nafasi kwa mshambuliaji Chris Mugalu. Kadi ya njano ya Mugalu ile ya pili…
ORLANDO Pirates wakiwa nyumbani wamewatungua Simba bao 1-0 kwenye mchezo wa robo fainali Kombe la Shirikisho. Kipindi cha pili Simba walifungwa bao hilo na kuwafanya wakwame kupata ushindi. Ni baada ya Chris Mugalu kuonyeshwa kadi nyekundu. Sasa mshindi anatafutwa kwa mikwaju ya penalti.
MAKOCHA wa Simba na Yanga, kwa sasa wanapigia hesabu mechi zilizopo mbele yao, huku jicho zaidi likitupiwa Aprili 30, mwaka huu kwenye Kariakoo Dabi. Ni takribani siku 8 zimebaki kabla ya mchezo huo wa Ligi Kuu Bara kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Dar. Hapa Spoti Xtra linakuletea baadhi ya nyota wa kazi katika kikosi cha Yanga…
KIMATAIFA Sadio Kanoute raia wa Mali ameyeyusha jumla ya dk 419 hizi ni kwenye mechi za hatua ya makundi ndani ya Simba Katupia bao moja dk 62 ilikuwa mbele ya USGN Uwanja wa Mkapa tupo naye kwenye mwendo wa data kiungo mgumu ndani ya Simba. Bao lake alitupia kwa mguu wa kulia akiwa ndani ya…
TAZAMA namna wapinzani wa Simba Orlando Pirates walivyowasaili Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali dhidi ya Simba, kesho Aprili 17,2022 Uwanja wa Mkapa.
EXCLUSIVE;Henry Joseph Shindika awapa ujumbe huu Simba kutoka moyoni aweka wazi kuwa anaipenda Simba.