SIMBA QUEENS WAPETA KARIAKOO DABI DHIDI YA YANGA

KATIKA Ligi ya Wanawake Simba Queens imepeta mbele ya Yanga Pricess kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Yanga Princess 1-3 Yanga ambapo pointi tatu zimeelekea kwa Simba Queens. Dakika 45 za mwanzo hakukuwa na mbabe kwa timu zote ambapo ubao ulikuwa unasoma 0-0 mambo…

Read More

YANGA KWENYE KAZI NYINGINE TENA

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga leo wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya JKT Tanzania. Yanga Aprili 20 2024 imetka kukomba pointi tatu dhidi ya Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 2-1 Simba hivyo ndani ya msimu wa 2023/24 nje…

Read More

SIMBA WATAJA MIPANGO YAO

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mechi ambazo wanacheza ikiwa ni mchezo dhidi ya Yanga. Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 2024 ambapo Yanga walimabingwa watetezi watawakaribisha Simba. Simba imetoka kupata pointi moja dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti. Ahmed Ally, Meneja wa…

Read More

SIMBA: TUMEUMIZWA VIBAYA MNO

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba umeumizwa vibaya kukwama kupata matokeo kwenye mchezo dhidi ya Mashujaa uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika. Ilikuwa ni kwenye CRDB Federation raundi ya nne ambapo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 1-1 Simba na kwenye penalti ilikuwa Mashujaa 6-5 Simba. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba…

Read More

M-BET YAMZAWADIA MSHINDI WA PERFECT 12 MILIONI 140.5

 SHABIKI wa  klabu ya Simba na Arsenal, Yahya Saidi Bakari  ameshinda sh 140,503,890 baada ya kubashiri kwa usahihi matokeo ya ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12 wa kampuni M-Bet Tanzania. M-Bet Yazindua Kampeni Mpya Mbali ya kumzawadia mshindi huyo, M-Bet pia imezindua kampeni mpya  ijulikanyo kwa jina la M-Bet Likes You ambayo  itawawezesha washindi…

Read More

RATIBA YA CRDB FEDERATION CUP IPO HIVI

NI raundi 16 kwa sasa imefika kwenye ushindani wa mashindano ya CRDB Federation Cup iliyobadilishwa jina rasmi Aprili 2 2024 baada ya mdamini mkuu kupatikana. Ikumbukwe kwamba awali mashindano hayo yalikuwa yanaitwa Azam Sports Federation. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi hii hapa ratiba kamili itakavyokuwa kwa kila…

Read More

SIMBA HAIJAPOTEZA MATUMAINI

UONGOZI wa Simba licha ya Machi 29 2024 mambo kuwa magumu kwao kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-1 Al Ahlyumebainisha kuwa matumaini bado yapo kufanikisha malengo yao. Ipo wazi kwamba malengo ya Simba kwenye anga la kimataifa ni kufika hatua ya nusu fainali jambo ambalo wanalipambania kwa sasa. Katika mchezo huo…

Read More

MITAMBO YA KAZI YANGA IPO KAMILI KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga leo watakuwa Uwanja wa Mkapakusaka ushindi dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye mchezo wa leo mitambo ya kazi ambayo haikuwa fiti inatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi miongoni mwao ni Khalid Aucho, Pacome, Zawad Mauya huku YaoYao na Kibwana Shomari ripoti ya daktari itaamua uwepo…

Read More

TAIFA STARS YAGOMEA KUPOTEZA TENA

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman, (Morocco) ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo unaotarajiwa kuchezwa leo Machi 25 2024 hivyo hawatakuwa tayari kupoteza kwa mara nyingine tena. Stars itakuwa na kibarua kwenye mchezo wa  FIFA Series dhidi ya Mongolia ukiwa ni mchezo wa pili baada ya ule wa awali…

Read More

YANGA YAPANIA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya hesabu kubwa ni kufanya kweli kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao ni hatua ya robo fainali. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga imetinga hatua ya robo fainali ikiwa na pointi 8 ambapo katika Kundi D ilikuwa…

Read More