>

TWAHA KIDUKU NA KABANGU MIKWARA YATAWALA

MABONDIA Twaha Kiduku na Alex Kabangu leo wamekutana kwa mara kwanza na kila mmoja kumchimba mkwara mwenzake kuelekea katika pambano la ubingwa wa UBO Afrika linalotarajia kupigwa keshokutwa Jumamosi mkoani hapa. Kiduku na Kabangu watapanda ulingoni katika pambano hilo ambalo litachezwa kwa raundi nane katika uzito wa kati ambalo litapigwa kwenye Ukumbi wa Tanzania chini…

Read More

HESABU ZA SIMBA KUTINGA FAINALI KIMATAIFA IPO HIVI

HUKU wakiwa kwenye maandalizi ya mchezo wao wa tano wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas, Nahodha Msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesema kama wakifanikiwa kufuzu robo fainali ya michuano hiyo, basi watakuwa kwenye nafasi kubwa ya kufika fainali. Simba inaongoza Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika…

Read More

NG’OMBE WA MAYELE ATUA DAR LEO

SHABIKI wa Yanga  kutoka Morogoro aliyeahidi kumzawadia mchezaji Fiston Mayele Ng’ombe mmoja baada ya kufunga bao katika mechi dhidi ya Mtibwa Sugar, ametimiza ahadi na kumfikisha Ng’ombe huyo leo Machi 14, 2022. Ni katika makao makuu ya Klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es Salaam zawadi imefika kwa ajili ya kutimiza ahadi ya muda kidogo….

Read More

BERKANE WATAMBA KUWA NI BORA KULIKO SIMBA

NYOTA wa zamani wa kikosi cha Yanga ambaye kwa sasa anakipiga ndani ya kikosi cha RS Berkane, Fiston Abdoul Razak ameweka wazi kwamba kikosi chao ni bora kuliko wapinzani wao Simba. Jana, Machi 10 RS Berkane waliwasili Tanzania kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa baada ya kuanza safari Machi 9 wakitokea…

Read More

SIMBA UGENINI WANAPATA MATESO KWELIKWELI

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa msimu wa 2021/22 wamekuwa wakipata mateso makubwa ugenini katika msako wa pointi tatu kwa kuwa mambo yamekuwa ni magumu kwao. Kwa mzunguko wa kwanza katika mechi 15 ambazo wamecheza na kuweka kibindoni pointi 31 ni mechi 7 walicheza ugenini na kushinda 3 huku wakiambulia sare 2 na…

Read More

MAKATA AFUNGASHIWA VIRAGO DODOMA JIJI

MBWANA Makata, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji yenye maskani yake Dodoma ameondoolewa katika nafasi hiyo kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo. Mchezo wa mwisho kukaa kwenye benchi ilikuwa ni Februari 20 uliochezwa Uwanja wa Azam Complex na ubao ulisoma KMC 2-0 Dodoma Jiji na kufanya wapoteze pointi tatu mazima. Ndani ya michezo mitano…

Read More

SIMBA WAZINDUA JEZI ZA KOMBE LA SHIRIKISHO

Klabu ya Simba leo Februari 10, 2022 imezindua rasmi jezi mpya ambazo zitakuwa zinatumika kwenye michuano ya kimataifa ambayo klabu hiyo ipo hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. “Leo tunaonyesha jezi yetu ya michuano ya kimataifa ikiwa na logo ambayo inazingatia mambo yote ya utalii. Jezi zitaanza kuuzwa kesho kwenye maduka ya Vunja…

Read More

AZAM WATANGAZA ABDI KUWA KOCHA MKUU

Klabu ya soka ya Azam imemtangaza Abdi Hamid Moallin kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho kwa mkataba wa miaka mitatu akirithi mikoba ya George Lwandamina. Awali Moallin aliletwa kushika nafasi ya Mkurugenzi wa Ufundi wa Maendeleo ya Soka la Vijana. “Azam FC ni klabu kubwa, na nililiona hili siku ya kwanza tu nilipofika hapa, nina…

Read More