>

ORODHA YA MASTAA 14 WATAKAOPIGWA PANGA YANGA

MASTAA 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23. Msemaji wa Yanga, Haji Manara, alisema kuwa usajili wa msimu ujao utakuwa ni mkubwa na wenye kuzingatia ripoti ya benchi la ufundi. “Tuna malengo makubwa na tunajua wapi ambapo tulishindwa msimu huu…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA KUHUSU KUMSAJILI SAIDO WA YANGA

BAADA tetesi nyingi kuzagaa za kiungo Mrundi, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ kutua Simba, uongozi wa timu hiyo umeibuka na kutamka hauna mpango wa kumsajili. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Yanga itangaze kutomuongezea mkataba kiungo uliomalizika Juni 30, mwaka huu. Mmoja wa mabosi wa Simba, amesema kuwa, ngumu kwao kumsajili mchezaji ambaye ameachwa na timu yake…

Read More

UKIFUNGWA LAZIMA UKUBALI MAISHA YAENDELEE

MWENDO ambao unaendelea kwa sasa kwenye ligi ni lazima kila mmoja aweze kupambania kile ambacho anakitaka kwa kuwa hakuna timu inayokubali kufungwa. Kila mechi inayochezwa imekuwa na ushindani mkubwa na hili ni jambo la muhimu kwa kila mmoja kukubali kile ambacho kinatokea. Ikitokea timu ikafungwa kwa makosa yao basi inapaswa kukubali hali halisi kwamba imepoteza…

Read More

WINGA MKONGO APEWA MIKOBA YA AMBUNDO NA SAIDO

 WAKATI leo nyota wawili wa Yanga, Said Ntibanzokiza na Dickson Ambundo wakitarajiwa kuukosa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba mikoba yao inatarajiwa kuwa mikononi mwa Jesus Moloko. Ni kwenye suala la mapigo ya mipira huru hasa kona ambapo kwenye mechi za hivi karibuni ni Ntibanzokiza alikuwa akitumika mara kwa mara na Ambundo kidogo. Kwenye…

Read More

SERENGETI GIRLS KILA KITU KINAWEZEKANA

KUMEKUCHA kwa wawakilishi wa Tanzania, Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake, U 17 kuweza kuwakilisha nchi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Maandalizi ambayo walianza kuyafanya awali kabla ya mchezo inaonesha kulikuwa na mpango wa kupata ushindi kwenye mchezo ujao ambao utakuwa na ushindani mkubwa. Kikubwa kwa vijana hawa ambao wanaiwakilisha Tanzania…

Read More

SAUTI:MAYELE KUTETEMA,NABI APIGA MKWARA

BAADA ya Yanga kushinda jana mbele ya Dodoma Jiji kwa ushindi wa mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na kufikisha pointi 60, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa wataendelea kufanya vizuri. Kwa upande wa mshambuliaji mwenye mabao 12 na pasi tatu za mabao, Fiston Mayele ameweka wazi kwamba muda wa kutetema unakuja.

Read More

DODOMA JIJI 0-2 YANGA,LIGI

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamekamilisha dk 45 za mwanzo wakiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Kasi ilianza ndani ya dakika 10 za mwanzo ambapo presha ilikuwa kubwa na Yanga ikapachika bao la kuongoza dk ya 11 kupitia kwa Dickosn Ambundo. Winga huyo ambaye…

Read More

MASTAA YANGA WAFUNGUKIA KUTOPENDA SARE

BAADA ya msoto wa kuambulia sare kwenye mechi tatu mfululizo,wachezaji wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi wameweka wazi kwamba hawajapenda kupata sare. Yanga ilianza kuambulia sare mbele ya Simba ilikuwa Aprili 30 kisha ngoma ikawa Ruvu Shooting 0-0 Yanga na kigogo cha tatu ilikuwa ni Yanga 0-0 Tanzania Prisons. Aboutwalib Mshery,kipa…

Read More