KIMATAIFA:CLUB AFRICAIN 0-0 YANGA
DAKIKA 45 za kimataifa ugenini huku mpira wa darasani ukionekana kwa timu zote mbili kwenye mchezo wa Kome la Shirikisho Afrika. Ubao unasoma Club Africain 0-0 Yanga Kibwana Shomari ni miongoni mwa wazawa ambao wameonyesha kiwango kizuri kwenye mchezo wa leo akiwa amepiga mashuti mawili ambayo yamelenga lango. Pia eneo la kiungo yupo Sure Boy…