POLISI TANZANIA YAMTAMBULISHA KOCHA WA YANGA
MWINYI Zahera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na uongozi wa Polisi Tanzania umebainisha kuwa umefikia hatua hiyo baada ya kuwa na mazungumzo ya muda mrefu na kocha huyo. Msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, Polisi Tanzania haijawa kwenye mwendo mzuri ambapo mchezo wake…