MABOSI SIMBA WAVAMIA….GSM YAFANYA KUFURU, NI SPOTI XTRA
GSM yafanya kufuru Yanga,mastaa wote wanunuliwa magari,mabosi Simba wavamia vyumba vya wachezaji ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
GSM yafanya kufuru Yanga,mastaa wote wanunuliwa magari,mabosi Simba wavamia vyumba vya wachezaji ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Novemba Mosi,2021 wameachia orodha ya wachezaji wao ambao wanawania tuzo ya mchezaji bora. Ni Mchezaji Bora wa Mashabiki ambaye anasakwa kwa mwezi Oktoba na tuzo hiyo inadhaminiwa na Emirate Aluminium ACP. Wanaowania tuzo hiyo kubwa kutoka kwa mashabiki ambao watapigiwa kura ni pamoja na kiungo wa kazi…
AMBROSE Morris, nahodha wa Ruvu Shooting ameweka wazi kuwa wana asilimia nyingi za kushinda mchezo wa kesho dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Itakuwa ni saa 12:15 jioni mchezo huo wa kukata na mundu unatarajiwa kuanza huku viingilio ikiwa ni 5,000 mzunguko,10,000 VIP B na VIP A itakuwa ni 15,000. Akizungumza na Saleh…
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wapo wazawa wengi ambao wanafanya vizuri ndani ya kikosi cha Yanga ikiwa ni pamoja na Dickson Job, Kibwana Shomari pamoja na Feisal Salum. Nyota hao kwa sasa wana uhakika wa namba kikosi cha kwanza ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Nasredddine Nabi huku nahodha akiwa ni mzawa pia…
KIM Poulssen Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Novemba Mosi ametangaza kikosi cha timu ya taifa ambacho kitakuwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbili za kuwania kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Hii hapa orodha ya wachezaji wa Stars:- Makipa Aishi Manula wa Simba,…
IMERIPOTIWA kuwa ilikuwa ni ghafla kwa mabosi wa Klabu ya Tootenham kumfuta kazi kocha wao Nuno Espirito ambaye ametangazwa kuwa kwa sasa hatakuwa kwenye majukumu yake ya kazi. Ikumbukwe kwamba Nuno alipokea mikoba ya Jose Mourinho ambbaye alifutwa kazi hapo Aprili 19,2021 kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo. Nuno alichaguliwa kuwa kocha Juni 30,2021…
LIGI Kuu Tanzania Bara maarufu kama NBC Premier Ligi inazidi kuchanja mbunga ambapo tayari kuna timu zimeanza kuonja ladha ya kuwa nafasi ya kwanza pamoja na ile ladha ya kuwa nafasi ya mwisho ndani ya msimu wa 2021/22 ambao unakwenda kwa kasi. Huu hapa msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakiwa ni namba moja…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu, lipo mtaani jipatie nakala yako 800
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Yanga amesema kuwa malengo makubwa ya timu hiyo ni kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22. Yanga ikiwa imecheza mechi nne imeshinda zote na kujiwekea kibindoni pointi zake 12 inashika nafasi ya kwanza huku safu yake ya ushambuliaji ikiwa imefunga mabao 6. Wapinzani wao Simba wapo…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo Oktoba 31 wamebwana mbavu mbele ya Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara baada ya kugawana pointi mojamoja. Katika mchezo wa leo ambao ulikuwa ni wa nguvu nyingi imeshuhudiwa ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-0 Coastal Union ya kule Tanga. Kadi mbili nyekundu…
LEO Oktoba 31 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba wanatarajia kucheza na Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku. Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza leo kwa mujibu wa rekodi za Saleh Jembe:- Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Mzamiru…
IMEELEZWA kuwa, licha ya Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, kuachia nafasi ya Uenyekiti waBodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo, lakini bado anahusika kwenye baadhi ya mambo ikiwemo kipindi hiki chamchakato wa kusaka kocha mpya wa kuinoa timu hiyo. Wakati Simba ikiwa kwenye mchakato wa kumsaka mrithi wa Kocha Didier Gomes aliyeachia ngazi Jumanne ya wiki hii, baadhi ya viongozi wa Simba wameonekana kulijadili jina la Kocha…
HITIMANA Thiery, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amebainisha kuwa timu hiyo inahitaji kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa ni timu kubwa na inawezekana kutokana na ukubwa wa timu hiyo. Mchezo wa kwanza kukaa kwenye benchi akiwa ni kaimu baada ya Didier Gomes kubwaga manyanga ilikuwa ni mbele ya Polisi Tanzania na Simba ilishinda…
KITASA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania, Said Juma Makapu, amesema anaamini kwa kiwango alichonacho kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ni muda wake sasa kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi. Kwa kusema hivyo kitasa huyo ni kama amempeleka Ulaya kiungo huyo ambaye kwa sasa yupo kwenye ubora wake ndani ya Ligi…
Waathirika 100 wenye ulemavu wa macho jijini Dar es Salaam, wamepatiwa huduma ya kupima, matibabu na vifaa tiba katika kambi maalumu ya kupima macho iliyofanyika jana kwenye kituo cha jumuiya ya maendeleo ya waisilamu wasioona Tanzania (VIMDAT). Kambi hiyo iliyolenga kupima macho, kutoa miwani na matibabu mengine ya macho kwa wenye ulemavu jijini…
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 kwa wakati huu upo namna hii ambapo vinara wa Ligi Kuu Bara ni Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi na matajiri wa Dar Azam FC wapo nafasi ya 11.
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili nakala yake ni 500, unaambiwa mastaa Yanga waoga mamilioni na Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thiery aiandaa Simba ya ubingwa.