SABABU YA CHAMA KUKAA BENCHI YATAJWA

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya nchini Morocco, Florent Ibenge, amefunguka suala la kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Clatous Chama, kushindwa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara ndani ya kikosi hicho huku akiweka wazi kuwa mchezaji huyo anahitaji muda zaidi wa kukaa sawa ndani ya timu hiyo. Chama alijiunga na RS Berkane mwanzo wa msimu huu akitokea Simba sambamba na winga wa zamaniwa Yanga, Tuisila…

Read More

YANGA YAZIDI KUIMARIKA

KAMBI ya muda iliyowekwa na vinara wa Ligi Kuu Bara Yanga inatajwa kuwaimarisha mastaa wa timu hiyo jambo ambalo limemfurahisha kocha wa timu hiyo Nasreddine Nabi. Novemba 9, Yanga ilikuwa ndani ya Bahari ya Hindi na kuibukia Zanzibar ambapo ilikuwa na mechi mbili za kirafiki kwa ajili ya kujiimarisha kuelekea mechinza ligi na ilishinda zote…

Read More

NABI ATAKA REKODI HII YANGA

KOCHA wa Yanga, Nasrredine Mohamed Nabi, amefunguka kuwa anahitaji timu yake iwe na uwezo mkubwa zaidi wa kumiliki mpira na kuwa na rekodi ya kupiga pasi nyingi kwenye kila mechi.   Nabi alisema soka la kisasa limebadilika sana kwa sababu timu yenye uwezo wa kumiliki mpira muda mrefu na kupiga pasi nyingi ndiyo huwa na nafasi ya kushinda mchezo kwa sababu wachezaji wanaongeza kujiamini.  Nabi amesema timu yake imekuwa na…

Read More

YANGA WAREJEA BONGO KUTOKA ZANZIBAR

BAADA ya kukamilisha kambi ya muda Zanzibar kwa ajili ye kujiweka sawa kwa mechi za Ligi Kuu Bara leo Novemba 13 kikosi cha Yanga kimerejea Dar. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ilikuwa Zanzibar na imecheza mechi mbili za kirafiki. Mchezo wa kwanza ulikuwa dhidi ya Mlandege FC na ule wa pili ulikuwa dhidi…

Read More

STARS NDANI YA MADAGASCAR TAYARI KWA KAZI

TIMU ya Taifa ya Tanzania,Taifa, Taifa Stars kesho ina kibarua kingine cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Madagascar katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho Novemba 14  na unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwa kuwa timu zote kwa sasa hazina cha kupoteza zaidi ya kutafuta heshima. Jana Novemba…

Read More

PABLO AANZA KAZI SIMBA

PABLO Franco, raia wa Hispania ambaye ni kocha mpya wa Simba, leo Novemba 12 emeanza rasmi kufundisha wachezaji wa Simba. Kocha huyo ambaye amechukua mikoba ya Didier Gomes raia wa Ufaransa ambaye alibwaga manyanga Oktoba 26 amesaini dili la miaka miwili kuwa ndani ya kikosi hicho. Katika mazoezi ambayo yamefanyika Uwanja wa Boko Veteran alikuwa…

Read More

WASHINDI WA MKWANJA WA JACKPOT WAVUNA MINOTI

WASHINDI wa Jackpot bonus ya Kampuni ya SportPesa wamezidi kujazwa minoti baada ya kupata ushindi katika ubashiri wao waliofanya. Hawa ni Washindi wa Jackpot bonus kutoka kushoto Mohammed O. Mohammed, Deo Nehemia Msemwa na Yona Teremia Nyasomba wakishikilia mfano wa hundi ya shilingi 5,003,220 ambapo kila mmoja ataondoka na kiasi hicho mara baada ya kubashiri kwa…

Read More

RUVU SHOOTING HESABU ZAO HIZI HAPA

  MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ubora wa kikosi ambacho eanacho kwa sasa hawana wasiwasi na mechi za Ligi Kuu Bara. Bwire amebainisha kuwa wanajivunia kutokana na kutumia kikosi kazi chenye wazawa huku wakiwa na malengo ya kufanya vizuri katika kila mechi. “Tuna wachezaji wazuri ambao wana uwezo mkubwa na kila…

Read More

YANGA:MOTO HUU HAUZIMI

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetamba kuwa moto walioanza nao kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu hauzimiki, bali wataendelea kukusanya pointi tatu katika kila mchezo ulio mbele yao ili kutimiza jambo lao la kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.   Yanga wameanza vizuri msimu huu wa 2021/22 ambapo mpaka sasa kwenye Ligi Kuu…

Read More

HUU HAPA MSHAHARA KOCHA MPYA SIMBA

BAADA ya kusaini dili la miaka miwili ndani ya kikosi cha Simba, Pablo Franco raia wa Hispania anatajwa kuingia kwenye orodha ya makocha ambao watakuwa wanakunja mkwanja mrefu ndani ya Bongo ikiwa ni zaidi ya milioni 30 kwa mwezi.   Pablo amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha Simba akichukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa klabu…

Read More

TAIFA STARS YAPOTEZA KWA MKAPA

IKIWA uwanja wa Mkapa leo Novemba 11, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya DRC Congo. Ilikuwa ni katika kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambapo Stars ilikuwa inapambana kupata pointi tatu sawa na DRC Congo. Kipindi cha kwanza umakini kwa safu ya ushambuliaji ya Stars inayoongozwa na Mbwana…

Read More

KOCHA WA SIMBA KUIBUKIA KWA MKAPA

PABLO Franco, raia wa Hispania leo Novemba 11,2021 anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaoshuhudia mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya DR Congo.   Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jiono huku timu zote mbili hesabu kubwa ikiwa ni katika kupata ushindi ili kuweza…

Read More