
PABLO AKUTANA NA KITU KIZITO KUTOKA BODI YA LIGI
BODI ya Ligi ya Soka Tanzania Bara imempiga faini ya Tsh milioni 3.5, Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Martin Franco kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu likiwemo la kupiga teke kiti kwenye mechi dhidi ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro. Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Manungu na dakika 90 zilikamilika kwa ubao kusoma…