KIPA SIMBA AONGEZA MIAKA MIWILI
KIPA namba moja wa kikosi cha Simba ambacho kwa sasa kipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola Aishi Manula ameongezewa mkataba wake wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Nyota huyo mkataba wake ulikuwa unakaribia kufikia ukingoni na kuna timu ambazo zilikuwa zimeanza mazungumzo naye kwa ajili ya kuinsa saini yake. Manula ambaye ni chaguo la kwanza…