
KISA SURE BOY, YANGA WAMCHENJIA NABI
BAADA ya mashabiki wa Yanga kuja juu kupinga mabadiliko ya kumtoa Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ na kuingia Heritier Makambo, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi ameibuka na kutaja sababu ya kumtoa nyota huyo. Tukio hilo la aina yake lilitokea mara baada ya Nabi kufanya mabadiliko hayo akitafuta ushindi wakati timu yake ilipovaana dhidi…