
KIMATAIFA HAKUNA MUDA WA NYONGEZA MUHIMU KUJITUMA
HAKUNA muda wa ziada kwenye maisha ya soka kwani hata ule ambao unakuwa unaogezwa unatokana na maamuzi ya mwamuzi wa kati kuangalia namna wachezaji walivyokuwa wakipoteza muda uwanjani. Ipo hivyo kwa sasa wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano a kimataifa hawana muda wa kusema kwamba watasubiri mechi ya kwanza upindua meza hilo halipo. Unakumbuka ile Simba…