
Sports


WINGA LA KAZI, NAKUJA YANGA, SIMBA WAFANYA USAJILI
WINGA la kazi… Nakuja Yanga, Simba wamepania, wafanya usajili wa kibabe ndani ya Championi Jumatano

SIMBA MIKONONI MWA MBEYA CITY LEO SOKOINE
MBEYA City yenye maskani yake Mbeya ikiwa na staa Ssemujju Joseph ambaye ni mshambuliaji anayetumia nguvu nyingi na akili pamoja na winga mzawa Sixtus Sabilo, leo Novemba 23,2022 wataikaribisha Simba. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kwenye mechi za nje ya mkoa wa Dar wamekuwa wakipata tabu kupata matokeo licha ya kuwa na wachezaji…

VIDEO:MZIWANDA AZUNGUMZIA USHINDI WA YANGA,UBINGWA SIMBA
KAY Mziwanda azungumzia ushindi wa Yanga, amkubali Sure Boy, ubingwa Simba

ORODHA YA MASTAA SITA AMBAO WAMEKALIA KUTI KAVU YANGA
ORODHA ya mastaa Yanga ambao wamekalia kuti kavu Yanga

SIMBA INASUKWA UPYA, MJADALA WAFANYWA NA MABOSI
SIMBA inasukwa upya, vigogo wafanya kikao kizito kujadili maendeleo ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda

SABABU ZA MUDA WA NYONGEZA KUWA KUBWA QATAR
TOKEA kuanza kwa michuano ya World Cup nchini Qatar Novemba 20,2022 kumekuwa na maswali mengi kwa wadau wa soka kutokana na ongezeko kubwa la muda wa ziada. Hii imetokana na mabadiliko waliyofanya Fifa katika muda huo. Sasa wanataka mpira uchezwe na dakika 90 zote zitumike. Maana yake ule muda wa kutazama VAR, muda wa mchezaji…

YANGA YAITULIZA DODOMA JIJI, MAYELE YULEYULE
YANGA imesepa na pointi tatu jumlajumla kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wakiwa ugenini. Ubao wa Uwaja wa Liti umesoma Dodoma Jiji 0-2 Yanga na mabao yote yakifungwa na mshambuliaji Fiston Mayele. Ni Mayele alianza kupachika bao la kuongoza kipindi cha kwanza dakika ya 41 akiwa ndani ya 18 na kuwafanya Dodoma Jiji kuwa nyuma…

VIDEO:MKWASA:TUSINGEBADILI MBINU, TUNGEFUNGWA NYINGI
KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting Masta Mkwasa ameweka wazi kuwa wasingebadili mbinu mbele ya Simba wanegufungwa mabao mengi baada ya dakika 90 kusoma Ruvu Shootin 0-4 Simba na ni Chama alitengeneza pasi mbili za mabao

DODOMA JIJI WATAMBA KUWATIBULIA YANGA
UONGOZI wa Dodoma Jiji umetamba kuifunga Yanga kwenye mchezo wa ligi na kuvunja rekodi ya timu hiyo kutofungwa ndani ya ligi. Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imekuwa na mwendo mzuri na mechi zake za ligi haijapoteza tangu msimu wa 2021/22 ilipofungwa bao 1-0 dhidi ya Azam FC. Ofisa Habari wa Dodoma Jiji, Moses…

HII HAPA REKODI ILIYOVUNJWA NA BOCCO
HII hapa rekodi iliyovunjwa na Bocco ndani ya Ligi Kuu Bara

GEITA GOLD YAIPIGIA HESABU IHEFU
BAADA ya kucheza mechi 13 Geita Gold yenye Said Ntibanzokiza ambaye ni kiungo mshambuliaji imekusanya pointi 18. Kwenye msimamo ipo nafasi ya tano na ni mechi nne imeshinda imeambulia kichapo kwenye mechi tatu na sare kibindoni ni sita. Mchezo wao ujao ni dhidi ya Ihefu ambao unatarajiwa kuchezwa Novemba 25. Geita Gold watakuwa nyumbani pale…

MACHAGUO SPESHO NA ODDS KUBWA KOMBE LA DUNIA KINAENDELEA KUWAKA
Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Jumanne kutakuwa na mechi 4 za kundi C na D, Argentina vs Saudi Arabia, Mexico vs Poland, Denmark vs Tunisia, na France vs Australia. Kesho Jumatano kundi E na F, Germany vs Japani, Spain vs Costa, Morocco vs Croatia na Belgium vs Canada. Beti sasa…

PANGA LAPITA NA SITA YANGA,KOCHA MUIVORY COAST ATAJWA SIMBA
Panga lapita na sita Yanga, kocha Muivory Coast atajwa Simba SC ndani ya Spoti Xtra Jumanne.

YANGA KAMILI KUIVAA DODOMA JIJI
KUELEKEA mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga, benchi la ufundi la Yanga limeweka wazi kuwa kila kitu kipo sawa. Ni Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa namna ambavyo wanapata ushindi na kutopoteza mchezo morali na ari ya kupambana inaongezeka kutokana na mashabiki kushangilia. “Ni kitu…

MEDDIE KAGERE AKUBALI MUZIKI WA YANGA
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Singida Big Stars ambaye aliibuka hapo akitokea Simba amekubali muziki wa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi

VIDEO:MZARAMO ATEMA CHECHE,ATAJA MABAO YA MAYELE YA MCHONGO
MZARAMO Simba atema cheche, ayazungumzia mabao ya Mayele