MAYELE, MGUNDA WASEPA NA TUZO NOVEMBA

NYOTA wa Yanga Fiston Mayele amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Kwa mujibu wa Kamati ya Tuzo ya TFF imeeleza kuwa haikumuhusisha kocha wa Azam FC kwa kuwa timu hiyo haikuwa na kocha mkuu kwa Novemba. Ikumbukwe kwamba Azam FC ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala ambaye…

Read More

USAJILI WA MTIBWA SUGAR UPO HIVI

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa unasubiri ripoti ya benchi la ufundi ili kufanikisha mpango wa kusajili wachezaji wapya. Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa wiki ijayo ambapo timu hupewa muda wa kuboresha nafasi ambazo wataona zinahitaji kuongezewa nguvu. Miongoni mwa wanaosakwa ndani ya Mtibwa Sugar ni kwenye eneo la ushambuliaji pamoja na…

Read More

NAMUNGO YAKWAMA KUTAMBA MBELE YA YANGA

NGOMA imekamilika Uwanja wa Majaliwa ubao ukisoma Namungo 0-2 Yanga ambapo wenyeji wamekwama kutamba mbele ya wageni. Namungo walizidiwa ujanja kipindi cha kwanza kutokana na makosa ya kipa Jonathan Nahimana kwenye kuokoa pigo la faulo ya Aziz KI iliyokutana na Yannick Bangala dakika ya 40. Bao la pili, Nahimana katika harakati za kuokoa shuti la…

Read More

NAMUNGO 0- 1 YANGA

JONATHAN Nahimana kosa moja alilofanya dakika ya 40 limekuwa ni faida kwa Yanga ambao walimtungua bao wakati huo. Ni kazi ya Yannick Bangala ambaye alimaliza mpira uliotemwa na kipa huyo wakati akiokoa pigo la faulo iliyopigwa na Aziz KI. Namungo wanacheza mchezo wa kujilinda wakiwa Uwanja wa Majaliwa kwenye mchezo wa leo. Wamekamilisha dakika 45…

Read More

KIUNGO WA KAZI SIMBA AREJEA NA KUANZA MATIZI

NELSON Okwa kiungo wa Simba amerejea kwenye kikosi na kuanza mazoezi na wachezaji wenzake wa timu hiyo. Okwa ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba hajawa kwenye mwendo mzuri kwa kwa hakuwa fiti.  Okwa alikuwa anasumbuliwa na tatizo la nyonga kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba Juma Mgunda. Hakuwa kwenye mchezo uiopita wa…

Read More

HUYU HAPA MBUTUA FUKO LA MILIONI 20

BAO la kiungo wa Yanga, Feisal Salum dakika ya 89 limebutua fuko la shilingi milioni 20 ambazo waliahidiwa wachezaji wa Prisons kubeba ikiwa watashinda mchezo huo na kama wangeambulia sare milioni 10. Ahadi hiyo ilitolewa na Ofisa Masoko wa Kampuni ya Silent Ocean, Mohamed Kamilagwa ikumbukwe kwamba hao ni wadhamini wakuu wa Tanzania Prisons. Desemba…

Read More

MPOLE APEWA MKONO WA KWAHERI GEITA, MKATABA WAALIZIKA

Uongozi wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuwa mkataba wake na kinara wa magoli Ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22, George Mpole umemalizika na kwamba makubaliano ya pande zote mbili yamefikiwa kuwa Mpole yupo huru kujiunga na klabu nyingine kuanzia leo Disemba 7 2022. Geita Gold inamshukuru Mpole kwa kazi, ushirikiano na utendaji mzuri…

Read More

HIZI HAPA REKODI ZA NAMUNGO V YANGA

LEO Uwanja wa Majaliwa mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Namungo v Yanga unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku. Timu hizo zimekutana mara sita ambapo ni mchezo mmoja Yanga ilisepa na ushindi Uwanja wa Mkapa na mechi tano waligawana pointi mojamoja. Hizi hapa rekodi zao walipokutana kwenye msako wa pointi tatu namna hii:- Rekodi za…

Read More

KIUNGO MGUMU SIMBA KUIBUKIA GEITA GOLD

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa atamtumia kiungo wake mgumu kwenye mechi za ligi kwa kuwa adhabu yake itakuwa imegota mwisho. Kanoute alionyeshwa kadi mbili za njano mbele ya Coastal Union, Desemba 3,2022 ubao uliposoma Coastal Union 0-3 Simba ile ya kwanza alionyeshwa dakika ya 40 na ya pili alionyeshwa dakika ya 90….

Read More

RUSHA KETE NA UJIPATIE MSHIKO WA KUTOSHA KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

Sloti Ya Titan Dice Anza siku yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Nafasi ya kuweka siku yako kuwa bomba kwa kuchangamkia bonasi na ushindi mkubwa kupitia Meridianbet. Michezo ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu. Kihistoria, mchezo huu ulianzia China. Waandaaji wa kisasa, Expanse…

Read More