YANGA MACHO YOTE KWA TP MAZEMBE

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo wao wa Jumapili dhidi ya TP Mazembe huku yale yaliyotokea Tunisia wakiyaweka kando. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Februari 12 ilishuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga kwenye mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Jana msafara wa…

Read More

MALENGO YA SIMBA KIMATAIFA YAPO HIVI

UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ni kupata ushindi. Ni Februari 18,2023 Simba ina kazi nzito ya kusaka ushindi dhidi ya vigogo Raja ambao wanaongoza kundi C wakiwa wametoka kuwatungua Vipers mabao 5-0. Leo Februari 15,2023 Simba imefanya uzinduzi wa kampeni…

Read More

ZIGO ZITO WAPEWA MANULA, BOCCO, CHAMA

MASTAA wa Simba ikiwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama,Aishi Manula, Pape Sakho, Shomary Kapombe wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapambana kupata matokeo kwenye mechi zote za hatua ya makundi. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akishirikiana na Juma Mgunda ilianza kwa kuambulia kichapo ugenini ubao uliposoma Horoya 1-0 Simba mchezo wa Ligi…

Read More

SHIKENI UKWELI,MECHI ZIJAZO NI NGUMU KWA SIMBA NA YANGA

Anaandika Jembe SIMBA na Yanga zimepoteza mechi za kwanza za ugenini kimataifa. Tukubali timu zetu zilijiandaa lakini Caf CL na Caf CC si lelemama, si sehemu ya maneno mengi na kupeana moyo tu…NI MAPAMABO HALISI… Simba wamefungwa na Horoya wanayoizidi kwenye ubora wa Rank za Caf, hali kadhalika Yanga kwa Monastir. Sasa nyumbani wanakwenda kukutana…

Read More

HILI KUBWA LA M 5, MSIMBAZI WATOA SHUKRANI

BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuweka wazi kuwa atanunua bao la timu za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kwa milioni 5, uongozi wa Simba umetoa shukrani za dhati kwa jambo hilo. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa jambo hilo ni kubwa…

Read More

ROBERTINHO APATA DAWA YA RAJA CASABLANCA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa hataingia kivingine kimbinu watakapovaana dhidi ya Raja Casablanca ya nchini Morocco. Hiyo ni baada ya kuanza vibaya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa ugenini dhidi ya Horoya AC ya nchini Guinea wakifungwa bao 1-0. Jumamosi…

Read More

YANGA KUTUA DAR

MSAFARA wa kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi leo Februari 14 unatarajiwa kuwasili Dar. Wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika walikuwa nchini Tunisia kwa ajili ya dakika 90 dhidi ya US Monastir. Ubao ulisoma US Monastir 2-0 Yanga hivyo wanarejea wakiwa na hasira kuelekea kwenye mchezo ujao dhidi ya…

Read More