
WAWILI WAONGEZWA STARS
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia amesema wachezaji wawili wazoefu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Shomari Kapombe na Mohamed Hussein wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania. Hiyo ikiwa ni baada ya timu ya Stars kukamilisha mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Uganda na kuibuka na ushindi wa bao 1-0….