
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameialika timu ya Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni Juni 5, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Juni 4 imeeleza hivyo. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Rais ameialika Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni…
UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa unatarajia kufunga msimu wa 2022/23 kwa mechi tatu za jasho na damu. Kwenye mechi hizo moja itakuwa ni fainali dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Tanga. Timu hiyo kwa sasa inaendelea na maandalizi kwa mechi hizo zilizobaki ili kupata matokeo mazuri. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema wanatambua…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
USM Alger ya Algeria inayonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Yanga. Ushindi wa jumla ya mabao 2-2 haujawapa fursa Yanga wawakilishi kutoka Tanzania kutwaa taji hilo. Katika mchezo wa leo Yanga imeshuhudia ubao wa Uwanja wa Juali 5 ukisoma USM…
HENOCK Inonga beki wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameitwa kwenye timu ya Taifa ya DR Congo. Nyota hao wanakwenda kwenye majukumu mengine kupeperusha bender za timu zao za taifa. Inonga mwenye tuzo ya beki bora msimu wa 2021/22 anaitetea tena kwa msimu wa 2022/23 baada ya kuwa kwenye orodha ya mastaa wanawania tuzo…
KIKOSI cha Yanga dhidi ya USM Alger kipo namna hii:- Diara Djigui Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Bacca Job Dickson Tuisila Kisinda Sure Boy Fiston Mayele Mudhathir Yahya Kennedy Musonda
INAELEZWA kuwa Manchester United wamefanya mazungumzo na Chelsea kuhusu kuipata saini ya kiungo Mason Mount, Sky Sports News imeambiwa. Hata hivyo hakuna ofa rasmi ambayo imetolewa kwa kiungo huyo wa Chelsea. Ikiwa makubaliano yanaweza kutekelezwa, inafikiriwa kuwa masharti ya kibinafsi hayatarajiwi kuwa tatizo. Mkataba wa Mount Chelsea unamalizika msimu ujao. Manchester United wamefanya maswali kadhaa…
KOCHA Mkuu wa Namungo FC Dennis Kitambi amesema kuwa wanaimani kubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji Timu hiyo ya Namungo mchezo wake uliopita ilishinda mbele ya Azam FC kwa mabao 2-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa AzamComplex. Inatarajiwa kucheza na Dodoma Jiji, Juni 6 Uwanja wa Majaliwa ikiwa…
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini timu hiyo itakuwa kwenye mwendo mzuri msimu ujao ikiwa itapata wachezaji wenye ubora kila idara. Kocha huyo alikiongoza kikosi cha Simba kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa. Henock Inonga na Kibu Dennis hawa ni nyota waliofunga mabao kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
PREMIER League msimu wa 2022/23 ulimalizika juzi Jumapili na kushuhudia Manchester City wakibeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo huku Arsenal akimaliza ndani ya nne bora na sapraiz pia kutoka kwa Newcastle. Baada ya misimu 31, Manchester United inazidi kutawala ndani ya top four mbele ya vigogo wengine kutoka Premier. Klabu nyingi kwa sasa…
WAKATI leo Juni 3 Yanga ikitarajiwa kutupa kete ya pili kwenye mchezo wa fainali dhidi ya USM Alger ya Algeria rekodi zinaonyesha kuwa wamekuwa wakifanya balaa ugenini. Katika mechi 11 ambazo Yanga wamecheza baada ya kutinga hatua ya makundi ni mechi tano ilicheza ugenini huku ikiambulia kichapo kwenye mechi moja pekee. Rekodi zinaonyesha kuwa Yanga…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watafanya kazi kubwa kwenye mchezo dhidi ya USM Alger kwenye fainali ya pili ugenini. Waarabu hao wa Algeria wanafaida ya mabao mawili waliyopata ugenini mbele ya Yanga huku mtupiaji wa bao la Yanga akiwa ni Fiston Mayele. Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, ubao…
MCHAMBUZI Ricardo Momo ameweka wazi kuhusu alivyopata nafasi ya kucheza Yanga alipokuwa akicheza mpira
MECHI mbili zimebaki kwa Simba kukamilisha ndani ya msimu wa 2022/23 ikiwa ni dakika 180. Simba ipo nafasi ya pili kwenye msimamo na vinara wa ligi ni Yanga ambao wametwaa ubingwa wa ligi msimu huu. Ikumbukwe kwamba Yanga inaiwakilisha Tanzania kwenye anga za kimataifa ikiwa ipo hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika na itapambana…
WAKATI mwingine wa kuonyesha uimara kwenye mashindano makubwa kwa wawakilishi wa Tanzania Yanga. Juni Mosi msafara wa Yanga uliwasili salama Algeria kwa kutumia ndege ya Air Tanzania ahadi iliyoahidiwa na Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa imeshatimizwa. Mchezo wa mwisho kwenye fainali dhidi ya USM Alger una picha ya tabasamu na maumivu kwa Watanzania kiujumla. Kinachowezekana…