Home Sports MASTAA SIMBA KWENYE MAJUKUMU MENGINE

MASTAA SIMBA KWENYE MAJUKUMU MENGINE

HENOCK Inonga beki wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameitwa kwenye timu ya Taifa ya DR Congo.

Nyota hao wanakwenda kwenye majukumu mengine kupeperusha bender za timu zao za taifa.

Inonga mwenye  tuzo ya beki bora msimu wa 2021/22 anaitetea tena kwa msimu wa 2022/23 baada ya kuwa kwenye orodha ya mastaa wanawania tuzo hiyo.

Mbali na Inonga pia Clatous Chama kiungo wa Simba ameitwa timu ya Taifa ya Zambia.

Mwingine ni Pape Sakho raia wa Senegal kule anakotoka mwana Sadio Mane.

Previous articleKIMATAIFA: USM ALGER 0-1 YANGA
Next articleUSM ALGER MABINGWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA