
NYOTA NTIBANZOKIZA ASEPA NA TUZO KIBAO
NYOTA wa Simba Saido Ntibanzokiza amefunga msimu wa 2022/23 kabati lake likiwa limejaza tuzo sita ikiwa ni rekodi bora kwake mbele ya mastaa wa Namungo, Yanga na Singida Big Stars. Ni Tuzo ya mchezaji bora kwa Mei akiwashinda Prince Dube wa Azam FC na Charlse Ilanfya wa Mtibwa Sugar ambapo ndani ya Mei nyota huyo…