
GHANA WAONDOLEWA AFCON
TIMU ya Taifa ya Ghana imeondolewa rasmi kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2021 na timu ya taifa ya Comoros katika mchezo wa mwisho wa Kundi C kwa kipigo cha mabao 3-2 katika mchezo uliopigwa Jumanne Januari 18. Ghana ni washindi wa Kombe la Afcon mara nne wametolewa na timu ambayo ni…