KAIZER CHIEFS YAPATA KOCHA MPYA, NAI IMEBUMA

KLABU ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemtangaza rasmi Molefi Ntseki kuwa ndiye kocha wao mkuu kwenye timu hiyo. Kutokana na hatua hiyo, ni wazi kwamba klabu hiyo ya Kaizer Chiefs imeamua kuachanana na mpango wake wa kumpa kazi Nassredine Nabi ambaye alikuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga. Nabi alikuwa ndani ya Yanga kwa…

Read More

LUKAKU AGOMEA OFA

STRAIKA Romelu Lukaku amegomea kujiunga na klabu za Saudi Arabia ambazo zimekuwa zikimwaga fedha nyingi kwa ajil ya kuzinasa saini za mastaa mbalimbali wa Ulaya. Lukaku ameongeza kuwa anataka kuendelea kubakia Ulaya kwa kuichezea timu ya Inter Milan ambayo yupo kwa mkopo akitokea Chelsea ambayo ilimsajili kutokea klabuni hapo. Klabu za Saudi Arabia zilikuwa zinamtaka…

Read More

CR 7 KAANDIKA REKODI NYINGINE

MWAMBA huyu hapa Cristiano Ronaldo anaingia kwenye rekodi nyingine ya dunia. Kitabu cha rekodi cha dunia maarufu kama Guinness kimeandika jina lake akiwa ni nyota wa kwanza kucheza mechi 200 akiwa na timu ya taifa ya Ureno. Rekodi hiyo mpya aliiandika juzi wakati Ureno ikicheza dhidi ya Iceland katika kufuzu michuano ya EUERO na Ureno…

Read More

CITY MABINGWA WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

UEFA Champions League mkononi kwa ushindi wa bao la Rodri dakika ya 68 dhidi ya Inter Milan Uwanja wa Ataturk Olympic. Katika mchezo huo Kocha Mkuu wa City Pep Guardiola alishuhudia vijana wake wàkipiga kona mbili na wapinzani wao Kona nne. Jumla zilipigwa pasi 512 kwa City na 394 kwa Inter ambao wapipiga mashuti sita…

Read More

LIONEL MESSI KUTUA INTER MIAMI

INAELEZWA kuwa Lionel Messi anakaribia kujiunga na Klabu ya Ligi Kuu ya Soka ya Inter Miami wakati mkataba wake na Paris Saint-Germain, (PSG) utakapomalizika mwishoni mwa mwezi. Nyota huyo wa Argentina alikuwa amepokea ofa nono za kumfuata Cristiano Ronaldo hadi Saudi Arabia msimu huu wa joto na Barcelona nao wakitaka kumsajili tena. Lakini mchezaji huyo…

Read More

KIMATAIFA: USM ALGER 0-1 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Julai 5 nchini Algeria unasoma USM Alger 0-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za kwanza. Mchezo kwa sasa ni mapumziko ambapo Yanga imepata bao la mapema katika fainali ya pili itakayoamua mshindi wa Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la kuongoza kwa Yanga limefungwa na Djuma Shaban dakika ya 6 kwa pigo…

Read More

ZIMEMALIZA TOP 4 ULAYA MARA NYINGI ZAIDI

PREMIER League msimu wa 2022/23 ulimalizika juzi Jumapili na kushuhudia Manchester City wakibeba taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo huku Arsenal akimaliza ndani ya nne bora na sapraiz pia kutoka kwa Newcastle. Baada ya misimu 31, Manchester United inazidi kutawala ndani ya top four mbele ya vigogo wengine kutoka Premier. Klabu nyingi kwa sasa…

Read More

KIVUMBI FAINALI FA MANCHESTER UNITED V CITY

MENEJA Erik ten Hag amesema Manchester United hawana uwezekano wa kuwa na Antony kwenye fainali ya Kombe la FA Jumamosi dhidi ya Man City. Itakuwa kivumbi watakapokutana kwenye mchezo huo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki duniani. Ten Hag alikuwa na matumaini zaidi kuhusu nafasi ya mshambuliaji wa Brazil baada ya kupata jeraha kwenye…

Read More

SEVILLA WASEPA NA TAJI LA SABA LIGI YA EUROPA

KLABU ya Sevilla imefanikiwa kuongeza rekodi ya taji la saba la Ligi ya Europa baada ya kuwalaza Roma 4-1 katika mikwaju ya penalti kwenye Uwanja wa Puskas Arena mjini Budapest. Gonzalo Montiel huyu alifunga penalti ya ushindi kwa Argentina katika fainali ya Kombe la Dunia, alifunga mkwaju huo wa kuamua. Wataalamu hao wa Ligi ya…

Read More

MWAMBA HUYU ANGA ZA CHELSEA

INAELEZWA kuwa Chelsea wamefanya mazungumzo juu ya kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon Manuel Ugarte kwa ajili ya kupata saini yake. Nyota huyo dau lake linatajwa kuwa na kipengele cha kuachiliwa kwa gharama ya Pauni 60. Mkataba wa Ugarte unamalizika 2026 na Kocha Mkuu wa Sporting Ruben Amorim amekiri itakuwa vigumu kuwabakisha wachezaji kama Ugarte kufuatia…

Read More

TEN HAG: MANCHESTER UNITED LAZIMA IWEKEZE

KOCHA Mkuu wa Manchester United, Erik ten Hag amesema kwamba Manchester United lazima wawekeze ikiwa wanataka kusalia katika nafasi nne za juu za Premier League. Ten Hag ameirudisha United kwenye Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza huku pia akishinda Kombe la Carabao. Lakini kocha huyo alikuwa na wachezaji watatu pekee waliosajiliwa kwa mkopo katika…

Read More

WASIWASI DAWA, WAARABU SIO WA KUWABEZA

WASIWASI ni dawa wanasema hivyo hivyo kwa wawakilishi kwenye anga la kimataifa Yanga hampaswi kujiamini kupita kiasi. Mwendo ambao mlianza nao kwenye kila hatua hakika unapaswa kupongezwa na ili uwe na mwendelezo mzuri ni muhimu kupata ushindi leo kwenu Yanga. Moja ya fainali kubwa na ngumu kupata kutokea ni hii hapa kwa kuwa kosa moja…

Read More

LIVERPOOL YAKAMWA KUTINGA NNE BORA, WAJIVUNIA HIKI

MENEJA wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka wazi kuwa licha ya timu hiyo kukwama kumaliza ndani ya nne bora bado wachezaji walikuwa na ushirikiano mkubwa. Amebainisha kuwa licha ya kukatishwa tamaa kwa kukosa kufuzu kwa soka ya Ligi ya Mabingwa, Klopp amesifu umoja wa wachezaji na wafuasi baada ya kuwa kwenye msimu mgumu. Mshambuliaji Mohamed Salah…

Read More