
NENO LA GUARDIOLA BAADA YA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND
KOCHA Mkuu wa Manchester City ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu England amesema kuwa ilikuwa ni pointi nyingi wapinzani wao wamemaliza nazo msimu huu. Ilikuwa ni Liverpool ambao walikuwa wanavutana na Manchester City na tofauti yao ni pointi moja pekee. City imeshinda mchezo wake dhidi ya Aston Villa kwa mabao 3-2 ikiwa Uwanja wa Etihad…