
SIMBA NA YANGA MAKUNDI WEKENI HESABU ZA LAZIMA
SAFARI ya kwenda Rwanda, safari kwenda Zambia zote zilikuwa na upekee wake. Nianze na dua, Mwenyezi Mungu awatangulie ndugu zetu wafike salama na kurejea salama. Yanga ni Rwanda katika mechi yao ya kwanza dhidi ya wageni wenzao El Merreikh ya Sudan ambao wamechagua kucheza Rwanda kutokana na matatizo ya vita nchini mwao. Wakati Simba wao…