
MAPILATO WA YANGA V SIMBA,PENALTI,KADI KAMA ZOTE
MAPILATO wa mchezo wa leo wa Yanga v Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa unaambiwa weka mbali na watoto kutokana na rekodi zao kuwa ni za moto kila wanapochezesha mechi. Waamuzi ambao wapo kwenye orodha iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania ambao ni Ellyi Sasii, Mohamed Mkono, Frank Komba na Ramadhan Kayoko ambaye atakuwa mwamuzi…