KISASI NA MAPIGO HURU UWANJA WA MKAPA
KARIBU kwenye mapigo ya ligi ambayo yanaendelea ikiwa ni mwaka 2023, Uwanja wa Mkapa utakuwa na kazi ndani ya dakika 90 kwa wababe kusaka pointi tatu. Ni Yanga dhidi ya Ihefu mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa kutokana na Ihefu kuwa watibuaji wa mipango ya Yanga. Hapa tunakuletea baadhi ya mambo yatakayonogesha mchezo huo namna hii:-…